Saturday, March 31, 2012

Show ya Diamond jana yafana.........lakini Mhhhh!!!

Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akiimba jana usiku mbele ya umatiwa watu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,kwenye onyesho lake maalum lililoitwa 'Diamonds are Forever' 
Diamond akiwa kwenye muonekano tofauti huku akiendelea kuwpa watu raha.

Wema akimtunza Diamond huku akiwa amesimama muda mrefu bila pesa yake kupokelewa
               Video Clip ya Diamond akikataa hela ya Wema live. Credit to www.djchoka.blogspot.com

Katika show hiyo Diamond alifanya kituko ambacho hakikuwafurahisha wengi. Ni pale mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu aliposimama kwa upendo na kwa kujiamini ili kwenda kumtunza kw kazi nzuri lakini Diamond hakuichukulia kihivyo badala yake alimtazama tu Wema ambaye alisimama muda mrefu sana kama inavyoonekana hapo pichani juu akisubiri pesa yake ipokelewe bila mafanikio. Na ndipo muda huo Diamond aliamua kuteremka kwenye stage na kwenda kumfuata bibie Jokate ambaye walianza kucheza kwa hisia kali. Kitendo hicho hakikiwafurahisha watu wengi na kilitafsiriwa kama ni unyanyasaji kwa Wema. Na ndipo makelele yalipoanza baadae kidogo funs wakimtaka Diamond amuombe msamaha Wema kitendo ambacho kilikuwa ni kama kumfukuza Diamond maana hakuoekana tena jukwaani baada ya kelele hizo.
Diamond that was soo uncool dogo... kwani kuna ubaya gani mpenzi wako wa zamani akiamua kukutunza kama fun wako?
For more pictures gonga read more..


Diamond akiwa na dancers

Diamond akipewa support na Queen Darleen

Darleen akiwa na mama yake mzazi katikati - The Tie Colour blends with mama's beautiful outfit

Wema Sepetu akipose wakati wa show

Jokate (left) nae akiwa katika pose hapo jana kwenye show

3 comments:

  1. Mhhh as usual, drama Queen and King.. but Mr. Almas that was not fair, she is just a fun like any other fun, what would you have lost if u had taken her monie... I wonder oooo

    ReplyDelete
  2. Diamond i think you still loves Wema that is why you want to hurt her, and deliver the massage that you still loves her but remember it will hurt you much later on

    ReplyDelete
  3. I have been a number one fan of Diamond. but with ths damn you, how can you do such a nasty thing to a beautiful lady lyke Wema, go to hell

    ReplyDelete