Wednesday, April 11, 2012

Mashindano ya Urembo kwa Mashoga, Mr Guy world yafanyika Africa kwa mara ya kwanza

 Mashindano hayo yalifanyika Johannnesburg, Afrika Kisini Mwisho wa wiki iliyopita na kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake, Washiriki wawili toka afrika walishiriki, Mashoga hao ni Wendelinus Hamutenya picha ya juu, a 23-year-old nurse and midwife from Namibia and an Ethiopian graduate student named Robel Hailu picha ya chini ,ambaye familia yake ilikataa mara baada ya kufahamu kuwa alikuwa na mipango ya kushiriki shindano hilo la mashoga

Gay men from 22 countries took part in this year's Mr. Gay World 2012 and Andreas Derleth of New Zealand (pictured on top) was crowned the winner

No comments:

Post a Comment