Saturday, April 7, 2012

Steve kanumba amefariki dunia/ Steve Kanumba is Dead


HABARI ZILIZOANZA KUZAGAA USIKU WA KUAMKIA LEO NA KUTHIBITISHWA ASUBUHI HII NI KWAMBA MWIGIZAJI MAARUFU NCHINI STEVE KANUMBA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO NYUMBANI KWAKE SINZA 'VATICAN' JIJINI DAR ES SALAAM.

HABARI ZA AWALI AMBAZO HAZIJATHIBITISHWA ZINASEMA MAUTI UMEMKUTA MAREHEMU KANUMBA BAADA YA KUTOKEA TAFRANI KATI YAKE  NA MWANDANI WAKE WAKIWA WANAJIANDAA KUTOKA KWENDA OUT. KATIKA PURUKUSHANI HIO MAREHEMU ALIANGUKA NA KUUMIA KISOGONI

HABARI  ZAIDI ZITAFUATA BAADA YA KUTHIBITISHA KILA KITU. MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU SINZA 'VATICAN' AMBAKO NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAMEKUSANYIKA HIVI SASA 

KUJIANDAA NA MIPANGO YA MAZISHI.

MOLA AIWEKE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU - AMINA.

3 comments:

  1. OMG, nooo. he is gone too soon. Kanumba why jamani, why?? Whoever has done this to him s/he will never go hands free. justice will prevail. R.I.P Kanumba

    ReplyDelete
  2. Na mimi jamani nasikitika sana kutokana na kifo cha huu ndugu yetu.

    ReplyDelete
  3. no one knows when the wind will blow and by what direction will the wind come may he rest in peace in JESUS'S NAME.GOOD BYE STEVEN KANUMBA YOU WILL ALWAYS BE REMEMBERED.
    AMEEEEEEN!!!

    ReplyDelete