Monday, April 23, 2012

sbl yazindua Promosheni ya ‘Vumbua Hazina chini ya kizibo’ kwa wateja wake.

MKurugenzi wa Masoko kampuni ya Bia ya Serengeti,Ephrahim Mafuru akizungumza mbele ya wanahabari kuhusiana na kampuni hiyo (SBL) kupitia vinywaji vyake bora kabisa vya Serengeti premium Lager, Tusker Lager na Pilsner Lager kuzindua promosheni kubwa na ya aina yake itakayoitwa VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO, itakayofanyika Tanzania nzima katika kipindi cha wiki 16 ambapo zawadi mbalimbali zitashindaniwa .Kulia kwake ni Meneja wa Kinywaji cha Pilsner Lager,Maurice Njowoka na kushoto ni Mkuzaji wa Biashara MPESA-kutoka Vodacom,Asia Natalia

No comments:

Post a Comment