Tuesday, April 17, 2012

TANZANIA YAFAA KUBWATIZWA JINA JIPYA….NI FISADISTAN


Hii ni post ya Zitto Kabwe katika Ukurasa wake wa Facebook akilalamikia rushwa waziwazi wakati wa mchakato wa kupata wabunge wa Afrika Mashariki.
"Rushwa inavyotembezwa katika uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki inatia simanzi sana. Haingii akilini kwangu kabisa kwamba Mbunge anahongwa ili kuchagua Mgombea fulani. Nchi hii inanuka uvundo. Uvundo wa Ufisadi. Sasa ni sahihi nchi hii kubatizwa jina jipya FISADISTAN 'The Land of The Corrupt'"- Zitto Kabwe.

1 comment:

  1. Zitto semaaa... sema usiogope semaaa. mi ukweli mtupu... ufisadi ni dondwa ndugu kwa hao tuliowapa dhamana ya kutuongoza

    ReplyDelete