Friday, May 4, 2012

FABRICE MWAMBA ARUDI UWANJA WA REEBOOK KWA HISA KALI

 Baada ya wiki saba tangu Fabrice Mwamba apate mshtuko wa moyo na kupoteza fahamu katika uwanja huo wa timu yake ya Bolton, Fabrice alirejea kushuhudia mechi kati ya timu yake ya Bolton na spurs, alishindwa kujizuia kutokwa machozi pale alipowapungia mkono mashabiki wa Bolton ambao walikuwa pamoja naye katika kipindi kigumu cha maisha yake ambapo alichungulia kuzimu....


No comments:

Post a Comment