Wednesday, May 2, 2012

LINK YA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2011 YATANGAZWA

Katibu mtendaji wa baraza la Taifa la mitihani Tanzania (NECTA),Dk. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa shule zote  za Sekondari nchini,Katika Matokeo hayo,Shule iliyofanikiwa kuongoza ni MARIAN GIRLS iliypo mjini Bagamoyo.

Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na  kusema kuwa sasa adhabu itakuwa ni mwaka 1  kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.


fuata Link hii hapa chini kwa Matokeo

BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2011 


Matokeo hayo ni kwa hisani ya Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA)

No comments:

Post a Comment