Thursday, May 17, 2012

MTOTO WA WAZIRI WA FEDHA KENYA, NJERU GITHAE AJINYONGA.


Mtoto wa kiume wa waziri wa Fedha wa Kenya ambaye pia ni mbunge wa Ndia, Bw Njeru Githae amejinyonga huku nyumbani kwao Nairobi
Brian Njeru Karanga mwenye umri wa miaka 26, alikutwa akining”inia katika kamba aliyoitumia kutoa uhai wake nyumbani kwao maeneo ya kifahari ya Runda estate mjini Nairobi, Brian alikuwa ni mtoto wanne katika familia na ni mwanafunzi wa mwaka wa nne computer science katika chuo kikuu cha Nairobi, Polisi bado wanachunguza mazingira yaliyosababisha Brian kutoa uhai wake.

No comments:

Post a Comment