Thursday, May 3, 2012

OMG, Rihanna's Ajirusha na strippers


Rihanna alitumia muda wake wa juzi usiku akijirusha na strippers katika klub moja huko NYC na hakuishia hapo akapost picha zake na kutumia account yake ya twitwer kutuma ujumbe huu


                    A celleb who doesn’t care about being a role model....tabu kwelikweli

No comments:

Post a Comment