Tuesday, May 29, 2012

OSAZE IDEMWINGIE AFUNGA PINGU ZA MAISHA, HARUSI YAKE YATUMIA ZAIDI YA £178,000

 Osaze odemwingie 31, mchezaji wa mpira wa kimataifa toka Nigeria, amefunga ndoa na mpenzi wake wa kiingereza Sarah Fallon 22, katika sherehe zilizofanyika huko London, wawili hao wilioana mara baada ya kuwa na mahusiano katika kipindi cha miaka miwili, taarifa zinaeleza kuwa odemwingie alitumumia zaidi ya £178, 000 kufanikisha sherehe hizo baadhi ya gharama alizozitumia ni kukodi ukumbi maarufu the castle, kununua nguo, fireworks, reception, food, drinks na gharama za usafiri kuwaalika zaidi ya wageni 250 katika sherehe hizo, Tunawatakia maisha mema ya ndoa.

No comments:

Post a Comment