Monday, June 18, 2012

LISA JENSEN KUIWAKILISHA TANZANIA MISS WORLD 2012


Redd's Miss World Tanzania, Lisa Jensen (katikati) akivishwa taji hilo na Miss Tanzania,Salha Israel katika hafla fupi iliyomalizika usiku huu kwenye kiota kipya cha maraha cha 327,Mikocheni jijini Dar es Salaam.kulia ni mshindi wa tatu kwenye kinyang'anyiro hicho,Pendo Laizer . Lisa amewashinda warembo wengine 9 katika shindano hilo dogo la kutafuta Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Mwaka huu ya Miss World.

No comments:

Post a Comment