Friday, October 5, 2012

Kweli mapenzi yana-run dunia - mcheki Janet Jackson

Huyu ndio Janet Jackson wa sasa akiwa anavaaa kistaarabu na kujistiri maungo yake baada ya kuwa kwenye mapenzi mazito la bilionaire wa Kiarabu aitwae Wissam al Mana, the MD of luxury corporate group Al Mana Retail in the Middle East. Kuna tetesi zinadai kuwa wana mpango wa kuona na Janet kubadili dini kufuata madhehebu ya mumewe mtarajiwa.

Swali tu la kizushi.. Hivi kati ya mapenzi na Money ni nini kina-run dunia?

No comments:

Post a Comment