Wednesday, November 30, 2011

JLO aamua kuwa shuga Mamy

            Jlo Akimbemenda Kijana wa Miaka 24

Jennifer Lopez mwenye miaka 42 aamua kuweka wazi uhusiano wake na kijana mdogo wa miaka 24 Casper Smart ambaye ni mcheza show wake pale alipofumwa na Camera za mapaparazi akiwa katika mahaba mazito mwisho wa wiki iliyopita. Kidhungu wanasema JLO is Officially a Cougar. Yaani official sugar mumy

  

                         

No comments:

Post a Comment