Wednesday, November 30, 2011

SHOW YA TWANGA PEPETA LONDON NI BAB KUBWA.

Amigoras akiwasha moto katika sherehe hiyo ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania huko london
Balozi wa Tanzania nchini uingereza John Kalaghe na Mke wake wakifungua Dansi
Picha ya Pamoja Twanga Pepeta na Uongozi wa Ubalozi UK
Umati ukila raha za Twanga
                                                Watu kazini wakijituma.

                                         

No comments:

Post a Comment