Friday, December 16, 2011

HAYA NDIYO MAPENZI YA SIKU HIZI, HOW OLD IS TOO OLD?

                                 Chaka Khan, 58, and her 25 yr old model boyfriend
Katika jamii yetu ni jambo la kawaida kukuta wanaume wenye umri mkubwa wakiwa na mahusiano na wasichana wadago, si ajabu katika jamii yetu kukuta mwanaume babu wa miaka 60 akiwa na kigori mdogo tu mwenye umri wa miaka 18, lakini utajisikiaje ukiwa kama mzazi pale ambapo kijana wako wa kiume mwenye umri wa miaka 25 anapokuja nyumbani kuleta mchumba aliyekutana naye ambaye ni bibi mwenye umri wa miaka 58?

No comments:

Post a Comment