Friday, December 16, 2011

VODACOM MISS TANZANIA AKABIDHIWA RASMI JEEP PATRIOT

Vodacom Miss Tanzania Salha Isarel akionyesha funguo ya gari aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi milioni 72mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Udhamni na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa wa pili toka kulia kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga na mwengine anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Bw. Alfred Minja
Vodacom Miss Tanzania Salha Isarel akifungua mlango wa gari lake aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi 72 milioni tayari kwa kuondoka nalo mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Udhamini na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa hayupo pichani,Ikiwa ni zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.

No comments:

Post a Comment