Thursday, December 1, 2011

JERRY MURO HURU


Aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro na Mke wake wakiwa bega kwa bega kutoka jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam kuelekea nyumbani akiwa huru mara baada ya  kuachiwa huru na mahakama hiyo katika kesi ya  kuomba rushwa ya Sh10 milioni. Kesi hiyo ilikuwa inamkabili yeye pamoja na washtakiwa wenzake wawili ambao ni Edmund Kapama na Deogratias Mgasa.
                            

No comments:

Post a Comment