Sunday, December 18, 2011

STEPS ENTERTAINMENT YAFUNGA MWAKA KWA KUWAAANDALIA MNUSO WASANII WA BONGO MOVIE

 Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Mohamed Nice 'Mtunis' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki 
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii Ritchie Mtambalike kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Baadhi ya nyota wa filamu katika hafla hiyo

Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Stevin Jacob 'Jb'' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Sebastian Mwanangulo ' Inspekta Seba' cha kutambua kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki 
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki 

No comments:

Post a Comment