Monday, May 21, 2012

KUTANA NA MR & RS FACE BOOK, MARK ZUCKERBERG IS OFFICIAL MARIED MAN


Mwanzilishi na CEO wa Facebook mtandao wa kijamii wenye watu wengi zaidi Mark Zuckerberg ,28, amefunga ndoa na rafiki yake wa kike wa siku nyingi Priscilla Chan, 27. Wawili hao walifunga ndoa katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwa bwana harusi katika mji wa Palo Alto, Calfornia siku ya jumamosi ya tarehe 19, may 2012. Wawili hao walikutana wakati wakiwa katika chuo kikuu cha Harvard na wamekuwa katika  mahusiano kwa  zaidi ya miaka  9.

No comments:

Post a Comment