Friday, May 18, 2012

picha za shughuli ya kumuaga Patrick Mafisango huko viwanja vya sigara Dar Es Salaam, Tanzania



 Huzuni na Majonzi vilitawala eneo la viwanja hivyo ya TCC Chang"ombe wakati umati wa Wapenzi wa Mpira hapa Dar Es Salaaam ulipokutana kutoa heshima za mwisho kwa Mchezaji huyo wa Simba Patrick Mafisango, Mwili wake uliingia uwanjani hapo ukiwa umebebwa na wachezaji wenzake na kama inavyoonekana katika picha hapo juu ilikuwa ni vilio na simanzi kwa Wachezaji na Mashabiki na Nahodha Juma Kaseja alishindwa kujizuia kwa Kulia na Kutokwa Machozi picha zaidi bofya hapo chini







2 comments:

  1. Inatia huzuni sana kwani mchezaji alikuwa na uwezo mkubwa sana na mcheshi kwa kila mtu anayekutanana nae Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amen...

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kutujuza nasi ambao tupo kwenye shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. RIP Mafisango

    ReplyDelete