Wednesday, June 20, 2012

NA HII NDIO GARI MPYA YA MSANII DIAMOND PLATNUMZ, PRADO TXBig up to Diamond planumz msanii ambaye kwa sasa yuko katika chati za juu sana Tanzania, Diamond ameonekana katika mitaa ya dar Es Salaam akiwa na mkoko mpya aina ya Prado TX ambayo yeye amenukuliwa akisema imemgharimu kama shilingi milioni 60, za kitanzania , Hongera sana Diamond picha kwa hisani ya teentz.

No comments:

Post a Comment