Tuesday, July 3, 2012

BLACK RHINO AMEREMETA


Mwanamuziko wa bongo fleva Nicholous Haule aka Black Rhino amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Beatrice Mbaga, Wapenzi hao ambao wamekuwa na mahusiano ya muda mrefu walitimiza ahadi yao siku ya tarehe 1 mwezi 7 mwaka huu hapa dar Es Salaam, Congrats to black rhino and Beatrice.

No comments:

Post a Comment