Tuesday, August 21, 2012

EARNING FROM THE MIC - BOBI WINE



Hello! we are introducing the new segment titled "Earning from the Mic". Tutakuwa tunawaletea wanamuziki mbalimbali wa Africa na mafanikio yao kila wiki. tunaamini hii pia inaweza ikawapa changamoto wale wanamuiki ambao bado hawajafanikiwa kwa kazi zao ili nao wakaze buti na kwa malengo...

Kwa kuanzia tunamuangalia BOBI WINE aka The Ghetto President, Msanii kutoka Uganda ambae mwanzo alikuwa kwenye kundi moja na Josee chamelion na Adui yake namba moja Bebe Cool.
Bobi and the wife Barbie Kyagulanyi

They look happy on their wedding day, hey mke pia ni success

The wife's ride. inafanana na ya Hasimu wake mkubwa Bebe Cool

Baadhi ya magari yake yalitumika siku ya harusi yao last year -
The Ghetto president has a Ford Mustang, Land Cruiser and a Cadillac Escalade on top of a Range Rover for the wife. He also has a bus for his Fire Base Crew

His ride

The Crib

Mjengo wa Bobi Wine kwa mbele

Yatch - hii imenunuliwa last month na imekuwa gumzo sana Uganda. Jamaa amedai anajipanga kununua Helikopta kwa sasa

Happy them - siku ya Engagement yao.

Wasanii wetu TZ mpooo?? ila naona kama Lady Jaydee na Prof Jay wana dreams kama za hawa jamaa. nao tutawaleta hapa on the Earning from the Mic

1 comment:

  1. Mhh hvi na sisi kweli wasanii wetu watafika huku? au labda kazi zao zikiacha kuhujumiwa!!

    ReplyDelete