Tuesday, August 7, 2012

UBUNIFU KAZINI, KUTANA NA BAHANUZI WA LINDI

Mchuuzi maarufu wa korosho na njugu maarufu kwa jina la Bahanuzi akiwa kazini katika mitaa ya Lindi. Kutokana na ubunifu wake wa mavazi na nidhamu ya kazi, Bahanuzi huuza korosho na njugu kwa wingi kila aendapo
 Msamaria mwema akimwelekeza Bahanuzi wapi pa kupeleka mashambulizi
Bahanuzi wa Lindi ni kivutio tosha kila apitapo( picha hisani ya Michuzi)

No comments:

Post a Comment