Monday, April 23, 2012

LULU APANDISHWA TENA KIZIMBANI LEO HII

Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu'  akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani.
 
Kesi hiyo  ilikuja kwa ajili ya kutajwa maana  Upelelezi haujakamilika. 

Kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo kuwa upelezi bado haujakamilika,  hivyo kesi hiyo  itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande. kwa habari zaidi bofya hapo chini
Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo

Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi yake ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa katika ulinzi mkali kutoka kwa askari  Magereza.
shukran. freebongo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment