Labels
Showing posts with label Lifestyle. Show all posts
Showing posts with label Lifestyle. Show all posts
Wednesday, October 31, 2012
Tuesday, October 9, 2012
Mhh haya majina mengine ya shule ni kiboko
Nimefurahishwa tu na hili jina la shule. Sasa sijui hata product inayotoka hapo itakuwa ni tofauti au inafanana na jina lenyewe la shule. I am just curious..
Saturday, October 6, 2012
Baada ya kuachana na demu wake Chris Brown video kuelezea juu anavyowapenda wanawake wawili kwa wakati mmoja
24 hours
after announcing his break up with girlfriend of almost two years, Karrueche
Tran, Chris Brown has released a video where he details his current dilemma of
being in love with two women. What he said in the video below..
I’m a
little drunk so I’m gonna be honest. See, y’all don’t really get the real Chris
Brown but I’m gonna be honest. I’m stressed out. It’s not about the music cause
I love my fans. It’s just, when you share history with somebody, and then you
tend to fall in love with somebody else, it’s kind of difficult.
Is there such thing as loving two
people? I don’t know if that’s possible but for me, I feel like that.
Y’all probably like, ‘What the f-ck is he talking about right now’ but I am
being real. I don’t want to hurt either or. I’m not trying to be a player,
or a dog, not none of that. My mother raised me differently, so I just can’t. I
don’t know man, a n-gga be stressing. That’s what n-ggas do. The life of Chris
Brown
Kwa wale waliokuwa hawajui bado, Chris Brown na Girlfriend wake wa miaka 2 wameachana wiki hii baada ya girlfriend huyo kushindwa kuvumilia 'urafiki' wa Chris Brown na ex girlfriend wake Rihanna.
Na chini ni Tweets za Chris Brown na Karrueche zinazothibitisha kauchana kwao
| Rihanna kushoto, kati Chris Brown na kulia ni Karrueche |
![]() |
| Chris Brown walionekana pamoja kwenye concert ya Jay-Z siku hiyo hiyo aliyoachana na Karrueche kama wanavyoonekana kwa nyuma kwenye hiyo picha. |
Friday, October 5, 2012
Kweli mapenzi yana-run dunia - mcheki Janet Jackson
Huyu ndio Janet Jackson wa sasa akiwa anavaaa kistaarabu na kujistiri maungo yake baada ya kuwa kwenye mapenzi mazito la bilionaire wa Kiarabu aitwae Wissam al Mana, the MD of luxury corporate
group Al Mana Retail in the Middle East. Kuna tetesi zinadai kuwa wana mpango wa kuona na Janet kubadili dini kufuata madhehebu ya mumewe mtarajiwa.
Swali tu la kizushi.. Hivi kati ya mapenzi na Money ni nini kina-run dunia?
Swali tu la kizushi.. Hivi kati ya mapenzi na Money ni nini kina-run dunia?
Thursday, September 20, 2012
Celebrites wa kike waamua kuuweka usista duu pembeni
![]() |
| A Pop Star singer, Shakira 35 and her Footballer boyfriend Prique |
Colombian
pop star Shakira, 35, confirmed yesterday Wednesday September 19th that she and
her Spanish football player boyfriend, Gerard Pique, 25, are expecting their
first child
"As
some of you may know, Gerard and I are very happy awaiting the arrival of our
first baby!" Shakira said in a statement on her website. "At this
time, we have decided to give priority to this unique moment in our lives and
postpone all the promotional activities planned over the next few days."
![]() |
| Amber Rose, showing off her baby bump on the picture posted recently on her Instagram profile. nae ni ujauzito wa Fiance wake Wizy Khalifa |
Pia tunawaombea na wale wote ambao wanatamani na bado hawajajaaliwa Mungu pia asikilize maombi yao
Wednesday, September 19, 2012
Wauza Ngono Kenya waandamana kupinga manyanyaso
![]() |
| Sex workers aka Wauza ngono wa eneo la Thika, Kenya wakiwa wamelala barabarani wakati wa maandamano yao jana |
![]() |
| Wauza ngono hao wakiwa na slogan yao ya 'Mwili wangu ni chaguo langu' wakimaanisha wako huru kuamua kuishi watakavyo, msiwababaishe |
Hapo juu kama inavyoonekana wauza ngono wa eneo la hika jan awaliamua kuandanamana ili kupinga unyanyaswaji wanaoupata wakati wa biashara yao. kwa habari zaidi soma hapo chini..
Friday, September 14, 2012
Weekend photos
Thursday, September 13, 2012
Can you spot the difference btn the two groups?
![]() |
| Tanzanian Actress - Aunty Ezekiel |
![]() |
| Aunty katika pozi on the stage |
![]() |
| Tanzania actresses, still single not sure if they re ready to mingle - Aunty Ezekiel & Wema Sepetu stejini wakijifurahisha |
![]() |
| Wema huyo actress from Tanzania nae akionyesha what her mama gave her... |
![]() |
| Nigerian Actress, A mother of 4 and a wife - Omotola Jalade akiwa na last born wake |
| Nigerian Actress, a mother of 1 and a wife - Stephanie Okereke |
Wednesday, September 12, 2012
Vituko vya Mastaa.. Chris Brown achora tattoo mpya ya mwanamke aliyepigwa uso lakini akataa kuwa ni Rihanna
Friday, September 7, 2012
WAMAMA WA KIKUNDI CHA ‘SITAKI MUME’ WAMPA KICHAPO MBAKAJI
![]() |
| Dizaini za 'Wamama Sitaki Mume' |
Kikundi cha wanawake wababe wa Kenya eneo la Kibera maarufu
kama ‘Wamama Sitaki Mume’juzi walitoa kali baada ya kumpa kipigo mwanaume
anayekwenda kwa jina la James Nyabuto ambaye
walimshutumu kumbaka mtoto wa kike wa miaka sita(6). Wamama hao waliamua kujichukulia
hatua mkononi dhidi ya mtuhumiwa huyo baada ya kesi yake kuahirishwa na Mahakama
ambapo walisema hawana imani na mahakama maana kesi ya mbakaji huyo imechukuwa muda
mrefu sana kuamuliwa na Mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana tangu January 7 mwaka
huu alipotenda kosa hilo. Mtuhumiwa huyo aliokolewa na Polisi waliokuwa karibu
na eneo na Mahakama na huku Maofisa wengine wakiwapoza wamam hao na kuwaambia
wawe wavumilivu tu kwani haki itatendeka.
Subscribe to:
Posts (Atom)

























