Showing posts with label Events. Show all posts
Showing posts with label Events. Show all posts

Monday, June 25, 2012

SWAGA ZA WABONGO, NDANI YA UZINDUZI WA FILAM MPYA YA WEMA SEPETU. GRAND HYAT HOTEL

 Irene Uwoya naye alikuwepo with her own style, jiandae na udaku utasikia Uwoya Freemason
 Juu Charles Baba ndani ya kasuti katamu, akifuatiwa na Ray showing love to Steve Nyerere
Nikuchumu   , Mchumu huyo Jack alikuwepo as well picha zaidi Bofya hapa chini

OMOTOLA NDANI YA TANZANIA MITINDO HOUSE



Omotola alipata Nafasi ya Kutembelea Kituo cha kulelea watoto yatima cha Tanzania Mitindo House na Kukutana na Mlezi wa kituo hicho Bi Khadija Mwanamboka pamoja na watoto wanaoishi katika kituo hicho, na kuwapatia zawadi hongera sana kwa Tanzania Mitindo house kwani sio siri Omotola alishangwazwa na standard ya kituo hicho ambayo ni ya hali ya juu na watoto pia wanaonekana wanapata uangalizi bora haswa kwa mavazi na afya hongera sana Tanzania Mitindo house

Monday, June 18, 2012

MEMORABLE HAPPY BIRTH DAY PRESENT FOR BONGO FLEVA DIVA LADY JAY DEE



 Usiku wa kuamkia tarehe 16 june 2012, ilifanyika sherehe ya kumpongeza mwanamuziki gwiji wa Bongo Fleva Lady Jay Dee kwa kutimiza miaka 33. She got best present of birthday cake, and special performance by Machozi band ft Barnaba in front of her friends and well wishers….@ nyumbani lounge off course, happy belated birth day wishes to you Lady jay Dee…. Bofya hapa chini kwa picha zaidi

Friday, May 25, 2012

100% TZ Flava launching Event @ Nyumbani Lounge Jijini Dar

Chezeyaa Prof Jay, hapa mzuka ulimpanda na kuonyesha vijana asili ya kiduku ni wapi
. Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Simba na Yanga ikiwa ni sehemu ya  kampeni mpya ya Bia hiyo inayokwenda kwa jina la 100% Tanzania Flava  ikiwakilisha Michezo yetu ambayo imezinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo kwenye kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki Prof. Jay na Janet wa Twanga Pepeta ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo ikiwakilisha Muziki wetu
. Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wacheza filamu,Jacob Steven na Aunt Ezekiel ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo ikiwakilisha Filamu zetu

Monday, April 23, 2012

RAIS ZUMA... RECEPTION PICHA ZAIDI

Rais Zuma na Mkewe Bhongi katika Pozi
Wakikata keki ya haja katika hafla hiyo
Watoto wa Rais Zuma Dudu, Gugu, Phumzile and Thuthu wakiwa na Tabasamu za haja wakimpa company baba yao na mama yao mpya katika kusakata rhumba  picha zote na Elmond Jiyane

                                mke na mume wakisakata rhumba na mc wa shughuli hiyo Ukhozi FM DJ Linda Sibiya

Saturday, April 21, 2012

PICHA ZA NDOA YA SITA YA RAIS ZUMA

RAIS ZUMA AKISERBUKA NA MKE WAKE WA NNE MA NGEMA KATIKA SHEREHE ZA KIMILA ZILIZOFANYIKA KIJIJINI KWAKE NKANDLA KWAZULU NATAL.HII NI NDOA YA SITA YA RAIS ZUMU, CONGRATS




Sunday, April 15, 2012

KILI MUSIC AWARDS 2012, THE EVENT

Looking Fab, Waendeshaji wa hafla hii usiku huu ni Milard Ayoo na mwanadada Vanessa Mdee
Diamond in the house, wamependezaje
Masharabaro
Ali kiba akishukuru waliompigia kura
Amakweli ukishakuwa mchekeshaji kibongobongo lazima uchekeshe mpaka mavazi, Toka kundi la ze komedi Mpoki alikuwepo kuwavunja mbavu watazamaji

Umati ulikuwepo  picha zaidi bofya hapo chini

Friday, April 13, 2012

JOE THOMAS CONCERT IN NAIROBI



Joe Thomas proved was in Nairobi this month from 5th, courtesy  Tusker Lite beer, He proved to those who attended his performance that t he is not just an average RnB  artist.  Joe took the stage and gave a stellar performance for two hours live with his band. Both Male and Female fans were thrilled entertained with hit of his popular hits like I Wanna Know, No One Comes Close, Love Scene among  others. He serenaded the mesmerized female fans with his sultry voice as he sung song after song from his earlier records for more picture click the link below

Friday, March 2, 2012

Miller Party @ Le TAsi lounge Coco Beach. BE PART OF IT

Be there................

Mkurugenzi Mtendaji NBC, Lawrence Mafuru akutana na Wahariri

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akitoa akizungumza na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.

Wadau wa kutoka NBC wakipozi kwa picha mara baada ya kumaliza kazi yao katika hafla ya mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo na waharir wa vyombo vya habari jana
Mmoja wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu na wa habari za biashara na uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana

Tuesday, February 28, 2012

Allan Lucky wa SKONGA, EATV aukacha ukapera

 Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha East Africa TV, Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akiwa na Mkewee Haika Samweli mara baada ya kuungana (kufunga ndoa) kuwa mwili mmoja katika hafla ya ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.

Allan Lucky Komba akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Best man wa Bw. Harusi,Banana Zorro na kulia ni Mkewe  Allan Lucky,Bi. Haika Samweli. I like hair style ya bwana harusi and Best man

Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
  Allan Lucky Komba na Mkewe Haika Samweli wakipokea vyeti vya ndoa toka kwa afisa wa Serikali.

Monday, February 6, 2012

UZINDUZI WA SANAMU YA SOKOINE DAKAWA MOROGORO

Mtoto wa aliekuwa Waziri Mkuu hayati Edward Moringe Sokoine, Mhe: Namelo Sokoine (MB) akipata maelezo ya jinzi gani kazi ya kuandaa Sanamu hizo ilifanyika kutoka kwa Padri wa kanisa katoliki Dakawa Drazan Klapez, kulia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine, Sarah Motosyo

Mtengenezaji wa Sanamu ya Sokoine Ivan Klapez na Baba Padri Nikolas Saric wa kanisa katoliki Dakawa wakitoa maelezo kuhusiana na sanamu hiyo kwa Waziri Emmanuel Nchimbi na wananchi wengine waliohudhuria sherehe hizo
Sanamu ya Sokoine ambayo ilitengenezwa kwa mawe yaliopatikana katika milima ya Iringa.
 Waziri wa Habari na Michezo Dr Emmanuel Nchimbi akizindua Sanamu ya Sokoine kwenye viwanja vya kanisa Katoliki Sokoine Dakawa jana.