Labels
- Articles /News
- Business
- entertainment
- Events
- Fashion
- From the MIC
- Lifestyle
- Relationship
- Sport
- video
Showing posts with label Articles /News. Show all posts
Showing posts with label Articles /News. Show all posts
Friday, October 12, 2012
Waislamu wazua kitimtim Mbagala Kizuiani muda huu
HAPA NINAPOANDIKA HIVI NI KUWA MABOMU YA MACHOZI YANARINDIMA HUKO MBAGARA KIZUIANI ILI KUWASAMBARATISHA WAISLAMU AMBAO WAMEANDAMAMNA NA KUKIZUNGUKA KITUO CHA POLISI WAKITAKA KITUO HICHO KIMUACHIE KIJANA WA FORM ONE AMBAYE AMEKOJOLEA KITABU KITUKUFU CHA DINI HIYO YAANI MSAHAFU.
INASEMEKENA KIJANA HUYO ALIAMUA KUFANYA HIVYO BAADA YA KUTOKEA MABISHANO KATI YA YEYE NA MWENZIE KUWA UKIKOJOLEA KITABU HICHO UTAKUWA MWENDAWAZIMU LAKINI YEYE ALIPINGA NA KUAMUA KUKUKOJLEA MSAHAFU AHAKIKISHE KAMA NI KWELI ATAKUWA MWENDAWAZIMU AMA TOFAUTI. BAADA YA KUUKPJOLEA MSAHAFU HUYO KIJANA ALIYEKUWA NAE ILIBIDI AWAFAHAMISHE WAISLAMU JUU YA KITENDO ALICHOFANYA MWENZAKE.
JAMANI HAYA MAMBO YA IMANI NI MAGUMU MNO, SASA BASI KWANINI KILA MMOJA ASIAMINI TU ANACHOKITAKA BILA KUKASHIFU CHA MWENZIO. MFANO TU PALE MWENGE KITUONI SIKU HIZI WAMEANZISHA MIJADALA YA DINI YA KIISLAMU NA WAKIRISTO KILA UPANDE UKITOA AYA ZA KITABU CHAKE NA UPANDE MWINGINE UNAZUNGUMZA INACHOKIJUA JUU YA AYA HIZO. MAMBO HAYA YASIPOKATAZWA MAPEMA IKO SIKU PALE MWENGE WATU WATAPIGANA MIKWAJU NA MAJAMBIA.
Wednesday, October 10, 2012
Kesi ya Rama mla watu yendelea - apelekwa Mirembe
![]() |
| Kijana Ramadhani kulia akiwa na mama yake hapo katikati wote wakiwa chini ya ulinzi mahakamani |
KIJANA
aliyewahi kupata umaarufu mkubwa nchini kwa jina la Rama ‘mla watu’, Ramadhan
Seleman anayetuhumiwa kwa kosa la mauaji baada ya kukutwa na kichwa cha mtoto,
Salome Yohana (3) mwaka 2008, amepelekwa Hospitali ya Mirembe mkoani
Dodoma, kupimwa akili.
Habari kutoka Gereza la Segerea jijini Dar es Salaam zinasema kuwa mtuhumiwa huyo amepelekwa Mirembe ili kufanyiwa uchunguzi wa akili yake.
Akizungumza na gazeti hili kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, afisa mmoja wa Jeshi la Magereza Kanda ya Dar es Salaam amesema wamelazimika kumpeleka Rama katika hospitali hiyo ya akili kutokana na vituko vyake.
soma zaidi ....
Mnaionaje miundombinu ya jirani zetu?
![]() |
| Thika Highway - Kenya |
Hii ni ya pepmbeni tu, umesikia jana Raisi wao kagomea ongezeko la posho kwa wabunge wao? hay ana tusubiri kura za wabunge nazo zitasemaje maana nao wana nguvu sana....
RIPOTI YA KIFO CHA MWANGOSI YATOKA
| picha na jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi marehemu Mwangosi aliyeuwawa mwezi uliopita huko Iringa. |
Tuesday, October 9, 2012
Kazi nzuri mama Tibaijuka
Mh. Prof. Anna Tibaijuka mchana huu
alipata nafasi ya hutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Posta Duniani - 25th UPU
Congress - amezungumza kama Balozi Maalum wa UPU wa kuhamasisha kuhusu umuhimu
wa anwani za makazi duniani.
Kila la Heri Jessica... penye nia pana njia
![]() |
| Jessica akiendelea kufanya mitihani yake y aform Four akiwa wodini huku wasimamizi wakiwa pembeni yake. |
![]() |
| Jessica akiendelea na mitihani yake kutokea wodini |
MWANAFUNZI
wa kidato cha nne katika Sekondari ya Alfa Germ, Morogoro, Jessica Kiliani
(17), amelazimika kufanya mtihani wake wa kuhitimu elimu hiyo akiwa
wodini baada ya kufanyiwa upasuaji.
Hatua
hiyo ilifikiwa baada ya mwanafunzi huyo, kuomba aruhusiwe kufanya mtihani huo
licha ya kuwa wodini akiugulia maumivu ya upasuaji aliofanyiwa na
madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa zaidi ya saa mbili na kulazwa
katika wodi ya wazazi namba 7B.
Monday, October 8, 2012
KUTOKA NBC...
![]() |
| MANAGING DIRECTOR NBC - MR. LAWRENCE MAFURU |
![]() |
| NBC Managing Director, Lawrence Mafuru addressing members of the press in his Office today. |
PRESS RELEASE
Dar es Salaam October 8, 2012.
On 19th July 2012, the Board of Directors of the National Bank of Commerce announced that Mr Lawrence Mafuru, the Managing Director of National Bank of Commerce had been requested and accepted to go on leave in order to allow investigations into irregularities allegedly perpetrated at the Bank.
The allegations which originated from a whistleblower
report
raised issues around irregular governance practices, fraud and
corruption against the NBC Executive Management team. Driven by the
values of the Bank and need to maintain high standards of good corporate
governance the Board of Directors of National Bank of Commerce
initiated thorough investigations into all the issues raised by the
whistleblower with a view of establishing the validity of the
allegations for appropriate actions to be taken.
Speaking about the investigation, the Chairman of the NBC Board of Directors Dr Mussa Juma Assad said, I am pleased to say that the Board has resolved appropriately all the matters arising out of the investigation and that Mr Mafuru will be returning to work immediately.’’
Dr Assad further said that, “it was a necessary process for all the stakeholders in our business, be they customers, employees, shareholders, regulators and the public at large, that a thorough investigation take place to ensure that our executive management is indeed running the bank in accordance with the best corporate governance processes.’’
Mr Mafuru, who has returned to work after a two month leave said, ‘’I am very happy that we have reached this point. As I pointed out previously, after investigations, our customers, employees, shareholders, regulators and the public will have a lot more confidence in NBC. Although this was a difficult period of my career, I remain very positive that this process was necessary for the interest of an organisation that embraces good governance practices. We will put all this behind us now and focus on what we do best and that is serving our customers through our conveniently placed delivery channels across the country.’’
BOARD OF DIRECTORS NATIONAL BANK OF COMMERCE
Speaking about the investigation, the Chairman of the NBC Board of Directors Dr Mussa Juma Assad said, I am pleased to say that the Board has resolved appropriately all the matters arising out of the investigation and that Mr Mafuru will be returning to work immediately.’’
Dr Assad further said that, “it was a necessary process for all the stakeholders in our business, be they customers, employees, shareholders, regulators and the public at large, that a thorough investigation take place to ensure that our executive management is indeed running the bank in accordance with the best corporate governance processes.’’
Mr Mafuru, who has returned to work after a two month leave said, ‘’I am very happy that we have reached this point. As I pointed out previously, after investigations, our customers, employees, shareholders, regulators and the public will have a lot more confidence in NBC. Although this was a difficult period of my career, I remain very positive that this process was necessary for the interest of an organisation that embraces good governance practices. We will put all this behind us now and focus on what we do best and that is serving our customers through our conveniently placed delivery channels across the country.’’
BOARD OF DIRECTORS NATIONAL BANK OF COMMERCE
Wednesday, October 3, 2012
Picha za ajali Mbeya jana... sad sad
Hizi
ni picha za ajali mbaya iliyotokea jana Katika eneo la Mbarali mbeya na watu zaidi
ya ishirini wamepoteza maisha papo hapo baada ya ajali mbaya iliyo usisha lori
la mafuta, daladala na pick up. Kwa heshim aya waliotangulia mbele ya haki Darbase blog haitoweza kuonyesha picha zingine za kusikitisha za vipande vya mwili wa binaadamu kama moyo, utumbo, vichwa, mbavu, miguu ambavyo vilikuwa vimezagaa eneo hilo.
![]() |
| Lori la mafuta likiendelea kuteketea na kuunguza eneo hilo pamoja na kinamama na watoto waliokuwa wanafua kwenye mto uliokuwepo eneo hilo. |
![]() |
|
Vipande
vya watu. Vichwa miguu mikono pamoja na sehemu mbali mbali za mwili wa binaadamu
vikiwa vimekusanywa kwa pamoja
|
![]() |
| Roli la mafuta likiendelea kutekea katika eneo la ajali jana |
Tuesday, October 2, 2012
Pole Asha Baraka... get well soon
Asha Baraka akiwa ameanguka huko Kigoma wakati pirika za uchaguzi zikiendelea. Inasemekana ameanguka baada ya kukosa hewa ya kutosha katika chumba cha kuhesabia kura. Na hata hivyo inasemekana ameshinda kwa kishindo. Pole sana Asha Baraka, Darbase blog tunakuombea nafuu ya haraka.
Pole sana Dar Express.. yawaka moto mchana huu
Hili ni basi la Dar Express ambalo limewaka moto muda si mrefu maeneo ya Segera. Abiria wote wamesalimika.. thanks to God, ila mizigo yote imeteketea. Darbase inatoa pole kwa uogozi wa Dar Express.
Kenya switches off counterfeit phones
The
Communications Commission of Kenya has switched off more than a million
counterfeit phones countrywide. The stringent measure by the regulator is seen
in a bid to counter the use of uncertified mobile phones that has infiltrated
the communications networks.
Many Kenyans rushed to replace their handsets with original one to beat the one month window period that had been given by the regulator.
In addition the regulator said the switch off will help curb mobile phone related crimes, as well stop illegal trade in unregistered handsets. The switch being carried in conjunction with the local mobile phone service providers will target handsets that do not have an International Mobile Equipment Identity commonly known as IMEI used to identify valid devices.
Kenya has one the most flourishing mobile telephony industries in Africa and has mainly four service providers. Quarterly data from the commission of Kenya reveal the mobile telephony market segment as at 31st December 2011 had 28.08 million mobile subscriptions grew by 4 percent to 29.2 million mobile subscriptions by 31st March 2012.
Though the providers welcomed the switch off that also targets unregistered Sim cards they claimed it has a negative impact on their business.
"Many Kenyans opt for the handsets because they are cheap almost twice and sometimes even thrice cheaper than the genuine brands. Service providers however believe that, this move by the Communications Commissions of Kenya is short lived unless the importation of fake phones is controlled.
Hay aTanzania na sisi tujiandae na simu za whuuu whaaa!!
Subscribe to:
Posts (Atom)














