Showing posts with label Sport. Show all posts
Showing posts with label Sport. Show all posts
Tuesday, October 2, 2012
Kuelekea mechi ya wapinzani wa jadi... utani nao wazidi..
Hawa watani wa jadi na utani wao, ila majibu yote yatapatikana hapo kesho usiku ambapo wapinzani hao watakapochuana
Monday, October 1, 2012
Mashindano ya Kimataifa ya Mashua yafana DSM
| Washiriki wakichuana vikali katika mahsindano hayo |
| Washiriki wawkiendelea na mchuano |
Thursday, September 20, 2012
Photo 2 of the day... ni raha tuu
![]() |
| Wachezaji wa SSC jana hiyo wakiwa na raha tele na huku wakimpongeza mchezaji mwenzao kwa kupachika goli. |
Uwanja wa Taifa nako jana Mnyama aka Simba Sports club waliwapa raha mashabiki wao baada y aKumfunga JKT Ruvu 2-0. Magoli hayo yalifungwa na Amiri Kiemba na Haruna Moshi 'Boban'. Kwa sasa SSC ndio wako juu kwenye ligi hiyo bada ya pia kushinda mechi yao ya kwanza dhidi ya African Lyon ambapo SSC walishinda 3-0.
Simba SC; iliwakilishwa na Juma Kaseja, Nassor Masoud
‘Chollo’, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Juma Nyosso, Mwinyi Kazimoto, Amri
Kiemba, Haruna Moshi ‘Boban’, Daniel Akuffo, Mrisho Ngassa na Emanuel Okwi.
Katika mechi nyingine za ligi hiyo, Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza
Azam imelazimishwa sare ya 2-2 na wenyeji Toto African, Uwanja wa
Kaitaba Bukoba, wenyeji Kagera Sugar wametoka sare ya bila kufunga na JKT
Oljoro ya Arusha, wakati Uwanja wa Sokoine Mbeya, wenyeji Prisons wametoka sare
ya 1-1 na Coastal Union ya Tanga na kwenye Uwanja wa Chamazi, African Lyon
imeifunga Polisi Morogoro 1-0, wakati Uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Ruvu
Shooting imeifunga 2-1 Mgambo
MSIMAMO
WA LIGI KUU BARA
P
W D L
GF GA
GD P
Simba
SC 2
2 - -
5
-
5 6
Mtibwa
Sugar 2 1
1 -
3
- 3
4
Azam
FC 2
1 1 -
2
1
1 4
Coastal
2
1 1 -
2
1
1 4
Ruvu
Shooting 2 1
- 1
3
3
- 3
JKT
Ruvu 2
1 - 1
2
3
-1 3
African
Lyon 2 1
- 1
1
3 -2
3
Toto
African 2
- 2 1
3
2 1
2
JKT
Oljoro
2 - 2
1 1
-
- 2
Prisons 2
- 2 -
1 1
- 2
Polisi
Moro 2
- 1 1
-
1
-1 1
Kagera
Sugar 2
- 1 1
-
1 -1
1
Yanga
SC 2
- 1 1
-
3
-3 1
JKT
Mgambo 2 -
- 2
1
3 -2
0
MATOKEO
MECHI ZOTE LEO:
JKT Ruvu
0-2 Simba SC
Mtibwa
Sugar 3-0 Yanga SC
African
Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu
Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons
1-1 Coastal Union
Kagera
Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto
Africans 2-2 Azam FC
Photo of the day.... LOl
![]() |
|
Viongozi
wa Yanga, kushoto Mussa Katabaro na Seif Ahmad 'Magari' wakiwa taaban Uwanja wa
Jamhuri jana
|
Hao ni
viongozi wa Yanga pichani hapo jana wakiwa hawaamini kinachoondelea kweny
eUwanja wa Jamuhuri Moroggoro ambapo vijana hao wa Jangwani walipigwa 3 bila.
Magoli ya Mtibwa yalifungw na Dickson Daudi dk ya 11, na Hussein Javu
aliyefinga magoli mawili dakika ya 43 na 86. Katika dakika ya 89 Yanga walipata
penalty ambayo nayo walikosa kwani mchezaji wao Hamis Kiiza aliipaisha juu. Ama
kweli siku ya kufa nyani...
Watani
wanawatania walikwenda na magari ya kifahari na kurudi na Bajaji za miguu
mitatu (magoli 3).. lol
Yanga kwa
msimu huu kwa kweli hawakuanza vizuri ligi kwani mechi yao ya kwanza
walilazimishwa suluhu ya bila kufungana na Prison.
Jana
vikosi vy Ynaga na Mtibwa viliwakilishwa na hawa..
Yanga SC; Ally
Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, , Mbuyu Twite/Kavumbangu, Nadir Haroub
‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Athumani Iddi ‘Chuji’, Frank Domayo/Simon Msuva,
Haruna Niyonzima, Said Bahanuzi, Hamisi Kiiza na David Luhende/Stefano
Mwasyika.
Mtibwa Sugar; Shaaban Hassan Kado, Malika Ndeule, Issa R Issa, Dickson Daudi,
Salvatory Ntebe, Shaaban Nditi, Jamal Mnyate/Babu Seif Ally, Awadh Juma,
Hussein Javu, Shaaban Kisiga ‘Malone’ na Vincent Barnabas/Ally Mohamed
'Gaucho'.
Subscribe to:
Posts (Atom)



