Kwa kuanzia tunamuangalia BOBI WINE aka The Ghetto President, Msanii kutoka Uganda ambae mwanzo alikuwa kwenye kundi moja na Josee chamelion na Adui yake namba moja Bebe Cool.
![]() |
Bobi and the wife Barbie Kyagulanyi |
![]() |
They look happy on their wedding day, hey mke pia ni success |
![]() |
The wife's ride. inafanana na ya Hasimu wake mkubwa Bebe Cool |
His ride |
![]() |
The Crib |
![]() |
Mjengo wa Bobi Wine kwa mbele |
![]() |
Yatch - hii imenunuliwa last month na imekuwa gumzo sana Uganda. Jamaa amedai anajipanga kununua Helikopta kwa sasa |
![]() | ||
Happy them - siku ya Engagement yao. |
Mhh hvi na sisi kweli wasanii wetu watafika huku? au labda kazi zao zikiacha kuhujumiwa!!
ReplyDelete