Sunday, December 25, 2011

HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA

Wadau,
Darbase.com inawatakia heri ya krismas na mwaka mpya wadau wote, hasa wewe msomaji wetu ambaye umekuwa ukitembelea blog yetu kwa kipindi chote tangu tulipoanza, Tunatoa shukrani za pekee kwa wale wote ambao wametoa mchango mkubwa wa hali na mali na kuifanya blog yetu kuwa na mafanikio katika kipindi kifupi tangu tuanze.
Tunawashukuru sana blogers ambao wamekuwa  na mchango mkubwa kutupatia ushauri na kupeana tafu inapobidi hasa Uncle Michuzi ushauri wako unazingatiwa sana, Ahmad Michuzi, Shafii Dauda na  Dj Fetty.Mwaka 2012 tutegemee makubwa kutoka kwetu hasa kwenye kuongeza na kuboresha local content, tunazingatia ushauri wenu na tunaahidi kuufanyia kazi. asanteni sana

No comments:

Post a Comment