![]() |
Diamond Platinums akiwapagawisha Makatibu Muhtasi katika tafrija ya Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini lililofanyika jana jijini Mwanza katika ukumbi wa Gold Crest Hotel. |
![]() |
Diamond Platinums akiwapagawisha Makatibu Muhtasi katika tafrija ya Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini lililofanyika jana jijini Mwanza katika ukumbi wa Gold Crest Hotel. |
![]() |
Diamond akiwa amebebwa na dancers wake katika moja ya show zake za jana Kuona picha zaidi ya tukio hilo bonyeza link hiyo chini ![]() |
kama kawaida ya Diamond, hupenda kuimba sambamba na mashabiki wake.. ambao wengi ni kina dada |
![]() |
Nyota Waziri nae hakubaki nyuma katika mambo ya Mduara |
![]() |
Nyota Waziri akinyongesha mashabiki na mambo ya Kachiriii Kachirii saga.... |
![]() |
MC Maulid mwana wa Kitenge akifanya vitu vyake katika tafrija hiyo jana |
![]() |
Mwanablogger wa kike Shamimu Mwasha aka Zeze wa 8020 fashions akiwa kwenye mpango mzima katika kongamano hilo, pembeni yake ni Hawa Mkamba ambaye kwa jana alisimama kama Photographer |
![]() |
Happy faces |
No comments:
Post a Comment