Tuesday, April 17, 2012

MTOTO MWENYE MIGUU SITA AZALIWA PAKISTANI


Mtoto mvulana mwenye miguu sita amezaliwa wiki iliyopita nchini Pakistan, Mtoto huyo ambaye taarifa za kitabibu wanasema amepata tatizo la genetic ambalo kwa kawaida hutokea kwa mtoto mmoja katika kila watoto million moja wanaozaliwa, kwa sasa madaktari wanajitahidi kuokoa maisha ya mtoto huyo.

No comments:

Post a Comment