Wednesday, May 23, 2012

KUTANA NA MISS SAHARA, DUME LA KINAIJERIA ALIYEJIBADILISHA KUWA MWANAMKE, ASHINDA MASHINDANO YA UREMBO


 Miaka saba iliyopita alikuwa ni mwanume tu wa kawaida aliyekuwa akijulikana kama Oche mzaliwa wa Nigeria  ambaye alizaliwa mwanaume miaka 28 iliyopita, Oche aliondoka Nigeria na Kuhamia Uingereza ambako alifanyiwa Operation ya kubalisha kutoka uanaume na Kuwa mwanamke na Kujipatia jina jipya Miss Sahara, Kwa urembo alio nao dada huyo aliyekuwa kaka alishiriki mashindano kadhaa ya urembo na  mwaka 2011 Miss Sahara alishinda shindano la  Miss International Queen pageant kama 1st runner up .Kwa picha zake za kihasara na ile alipokuwa Miss International Qeen, bofya hapo chini



No comments:

Post a Comment