Monday, May 21, 2012

NCHUNGA BYE BYE YANGA, WANACHAMA ZAIDI YA 700 WAKUTANA NA KUMNG'OA NCHUNGA MADARAKANI

Katibu wa Baraza la Wazee wa muafaka wa Yanga, Ibrahim Akilimali akizungumza katika mkutano wa wanachama zaidi ya 700 wa Klabu ya Yanga uliofanikisha kumng'oa Mwenyekiti wake,Bw. Lloyd Nchunga.Mkutano huo umefanyika leo Kwenye uwanja wa Kaunda uliopo Klabuni hapo,kwenye Makutano ya Mtaa wa Twiga na Jangwani,jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi wa Baraza la Wazee wakiongozwa na mzee, Ibrahim Akilimali (wa tatu kushoto) wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano huo , Picha ya chini wanachama wa yanga wakishangilia mara baada ya azimio hilo kupita


No comments:

Post a Comment