![]() |
Bi Harusi mtarajiwa Jacky akiwa na mpambe wake. hizi nguo zote zimekuwa designed hapa hapa bongo |
![]() |
Close-up ya designs zao kwa juu |
![]() |
Nimeupenda mkia wa hiyo nguo |
![]() |
Hiyo Kola is a woow! the plits bottom is a plus |
![]() |
Fashionable... |
![]() | ||||
Lace nazo zilikuwepo.. love the colour combo |
![]() |
Woow! I just love the blaizer |
![]() |
Classy.. cocktail party inahusika |
![]() |
Peplum design ilihusika kwenye kitenge na ilipendeza.. Mambo ya kina Victoria Beckaham haya |
![]() |
Decent one.. hata kiofisi inahusika pia |
![]() |
Kwa waliojaaliwa tu... |
![]() |
Hii funga ndio funga kaziiii |
No comments:
Post a Comment