Thursday, February 16, 2012

KOBE & VANESSA….baby come back


Wawili hao wameonekana wakipeana mabusu ya hali ya juu baada ya Vanessa kumfuata Kobe in the tunnel while he was on the way into the locker room , Hi ilitokea baada ya Vanesa kwenda kumshangilia Kobe katika mechi kati ya Lakers Vs Hawks siku ya Valentine, Ikumbukwe kuwa wawili hao wameshafikishana mahakamani na mahakama imempatia utajiri mkubwa Vanessa , Lakini taarifa toka TMZ zinaeleza kuwa wawili hao wanaendelea na juhudi za kupatanishwa. May be haya ndio mapenzi ya mume kwa mke……..

No comments:

Post a Comment