Saturday, April 21, 2012

MADAKTARI WAFANIKIWA KUONDOA MIGUU MINNE YA MTOTO ALIYEZALIWA NA MIGUU SITA


Madaktari wa  National Institute of Child Health huko  Karachi Pakistan wamefanikiwa kumfanyia upasuaji mtoto huyu ambaye alizaliwa na miguu sita na kufanikiwa kuondoa miguu mine iliyoongezeka, kwa sasa hali ya mtoto huyo inaripotiwa kuendelea vizuri,atabaki hospitali kwa uangazlizi zaidi.

No comments:

Post a Comment