HABARI AMBAZO ZIMETHIBITISHWA NA KAMANDA WA POLISI MKOANI ARUSHA ZINAELEZA KUWA KUNA MIILI MINNE YA VIJANA WA KIUME AMBAO WAMEPATIKANA BAADA YA WANANCHI KUTOA TAARIFA POLISI KATIKA MAENEO YA TENGERU , ARUMERU MJINI ARUSHA, BAADHI YA MAITI HAO WAMEKUTWA NA KAMBA SHINGONI, MINYORORO NA KADHALIKA, KWA  PICHA  YA HABARI HII   BOFYA HAPO CHINI.TAFADHALI USITAZAME PICHA HIYO KAMA UNAHISI UTAKWAZIKA,

No comments:
Post a Comment