Wednesday, May 30, 2012
BREAKING NEWS,WEMA SEPETU ACHUMBIWA TENA JANA USIKU NI MWINYI (MACHOZI BAND)
Tukio hilo lilitokea jana Maisha billicanas pale ambapo mwinyi mwanamuziki wa Machozi band alipoamua kuweka wazi mahusiano yake na Wema Sepetu na Kumfanyia suprise flan kwa kumvisha pete ya uchumba Wema Sepetu,huku watu wakiwa hawaamini, Picha ya juu Mwinyi akidondoka chini na kupiga goti la haja, kusema na dada wema "will you marry me? "Wema akumkumbatia na ..... bofya hapo chini uone kilichoendelea
Akatabasamu na Kumpa mkono wake wa kushoto na kufanya kile aliochokifanya Diamond....
Akampa busu la haja na kuanza safari mpya ya maisha ya uchumba mbele ya umati mkubwa ulioshuhudia shughuli hiyo....
Suprise hii yote ni Movie ambayo Wema anaigiza maisha yake, Mwinyi anaigiza kama Diamond na hapa wanarecall tukio ambalo Diamond alimsha Wema pete katika ukumbi huu wa Maisha Club na Movie hii inategemewa kutoka mwishoni mwa mwezi ujao.
, Picha hisani ya dj choka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mhhhh!! haya sijui kweli au ni wako location? kama ni kweli na mimi namtakia mdada Wema kila la heri mambo yasijirudie...
ReplyDeletehuyu Mwinyi si ana mke huyu? au ndio wema anakuwa mke wa pili? kiislamu zaidi. owwwkeeeyyyy
ReplyDeletekwani we anono wa hapo juu haujasoma mpaka mwisho kujua ni sinema tuu, wako location my ndugu
ReplyDelete