Linah akiwachengua
mashabiki wake katika ukumbi wa Cafe Rendez-vous jijini Oakland California
Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya Linah Sanga akiwa jukwaani akiimba moja ya nyimbo zake katika shoo
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Cafe Rendez-vous jijini Oakland
California,Marekani.
Linah akipozi ndani ya Hammer mara baada ya kumaliza show yake
No comments:
Post a Comment