Osaze odemwingie 31, mchezaji wa mpira wa
kimataifa toka Nigeria, amefunga ndoa na mpenzi wake wa kiingereza Sarah Fallon
22, katika sherehe zilizofanyika huko London, wawili hao wilioana mara baada ya
kuwa na mahusiano katika kipindi cha miaka miwili, taarifa zinaeleza kuwa
odemwingie alitumumia zaidi ya £178, 000 kufanikisha sherehe hizo baadhi ya
gharama alizozitumia ni kukodi ukumbi maarufu the castle, kununua nguo, fireworks,
reception, food, drinks na gharama za usafiri kuwaalika zaidi ya wageni 250
katika sherehe hizo, Tunawatakia maisha mema ya ndoa.
No comments:
Post a Comment