Monday, June 25, 2012
OMOTOLA NDANI YA TANZANIA MITINDO HOUSE
Omotola alipata Nafasi ya Kutembelea Kituo cha kulelea watoto yatima cha Tanzania Mitindo House na Kukutana na Mlezi wa kituo hicho Bi Khadija Mwanamboka pamoja na watoto wanaoishi katika kituo hicho, na kuwapatia zawadi hongera sana kwa Tanzania Mitindo house kwani sio siri Omotola alishangwazwa na standard ya kituo hicho ambayo ni ya hali ya juu na watoto pia wanaonekana wanapata uangalizi bora haswa kwa mavazi na afya hongera sana Tanzania Mitindo house
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment