PICHA
NA IKULU
Monday, June 4, 2012
RAIS KIKWETE AKIWA KATIKA MAZOEZI, “WATANZANIA KITAMBI NOMA.”
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete, aliye katika mapumziko mafupi jijini Arusha, akiwa katika mazoezi yake
ya kila asubuhi na jioni ya kutembea kilomita 3 kabla ya kufanya mazoezi ya
viungo na kuingia gym, katika kuuweka mwili wake katika hali ya ukakamavu na
afya. Wakaazi wengi wa Arusha ambao wamemuona akitembea wamesisimkwa na
kufurahishwa sana na hatua hiyo ya kiongozi mkuu wa nchi kuwa mstari wa mbele
katika kuonesha kwa vitendo umuhimu wa kujenga afya kwa mazoezi ya kila siku,
na kutaka kila mtu, si viongozi tu, kuiga mfano hai huo kwa kuanza kufanya
mazoezi kila siku bila kushurutishwa ili kulinda afya zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment