Saturday, July 21, 2012

Hatimae Beyonce aamua kuonyesha sura ya mwanae




















Woooow! Beautiful  Baby Ivy…Hatimae Beyonce ameamua kumuonyesha hadharani binti yake mwenye umri wa miezi sasa. Mtoto Ivy amewahi kuoneakana hadharani mara moja tu tangu alipozaliwa hapo January mwaka huu ambapo Jay-z na Beyonce walipotoa picha yake kwenye mtandao wao.

E Online walifanikiwa kupata picha ya karibuni ya Baby Ivy wakati Beyonce alipokuwa anafanya shopping huko Bergdorf’s Manhattan hivi karibuni.
Wataalamu wa kufananisha wanadai mtoto ni photocopy ya baba yake, Jay-Z

No comments:

Post a Comment