Wednesday, July 11, 2012

VALUE FOR MONEY?, SIKU GARI YA ETOO ASTON MARTIN ONE-77 YENYE THAMANI YA $ 1.4 MILLION ILIPOKATAA KUWAKA.

 

Hii ilitokea wakati mwanasoka Samwel Etoo alipokuwa Paris Ufaransa, Gari yake aina ya Aston Martin One-77 ilikataa kuwaka , Ilimbidi Etoo atoke nje ya gari hiyo na kupata msaada mwingine wakati mvua ikinyesha, yawezekana vipi kuwa na gari ya thamani kubwa kama hiyo igome kuwaka tuu na ilitiliwa maananani gari hizo zilitengenezwa 77 tu na hii ni moja wapo, endelea kuona video

No comments:

Post a Comment