Logo source http://www.okayafrica.com |
Katibu mtendaji mkuu wa baraza hilo Dr Joyce Ndalichako wakati akisoma matokeo ya Kidato cha Nne 2011 amesema mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani huo alifikia hatua ya kuandika mashairi ya bongo fleva baada ya kukosa cha kujibu Ngoja niwasomee niwasomee ‘wasahihishaji msinisamehe..., acha utani na girl wangu, nakuja home nakukuta.. nikifeli mtihani naendelea na fani ya muziki,
“nashukuru sana wote wanaosahihisha huu mtihani wangu, nitakapofeli nitaendelea na fani yangu ya bongo fleva, majita yangu yako levo za juu na sio East zuu, ukiona vyaelea ujue vimeundwa”
Joyce amesema mtahiniwa aliandika mistari katika kila sehemu alipotakiwa kujibu swali, swali la sita na la saba aliandika hiyo mistari hapo juu, swali la kumi na moja ameandika “acha utani my girl, unauja nyumbani umezizi, mwenzako huku naona sijiwezi, kazi hiyo ya kuzizi nakwambia ukweli mwanzo ulikua mzuri lakini mwisho ukawa mbaya”Logo source http://www.okayafrica.com
Kazi kweli kweli
hahahahaah!! God have mercy!!wazazi wana kazi
ReplyDeletehahha!!huyu angeongezewa maswali angeichana serikali..!!
ReplyDeletemohsein