Friday, September 7, 2012

Apology

Dear DBB (DarBase Blog) readers poleni sana kwa kutokuwa kuwapa updates kwa siku tatu mfululizo. Ni majukumu ya Ajira yalizidi na ikabidi huu upande mwingine wa kujiajiri usimame kidogo. Nategemea mtakuwa mmetuelewa na kutusamehe kwa hilo. Haya karibuni tuendeleze libeneke.

DarBase Management.

No comments:

Post a Comment