![]() |
| Hayati Daudi Mwangosi aliyepoteza uhai jana wakati wa vurugu za WanaChadema na FFU huko Iringa |
| Wanachama wa Chadema wakiwa wamekusanyika nje ya ofisi ya chama chao huko Nyololo, Iringa |
| Polisi wakitoa amri ya watu waliokusanyika eneo hilo kutawanyika |
| Polisi wakiwa wamejisandaa tayari kwa lolote |
| Hayati Mwangosi, kulia mwenye Camera na Jacket la Khaki akiwa kazini dakika 20 kabla ya mauti yake |
![]() |
| Polisi wa FFU wakiwa wanamshambulia Bwana Mwangosi aliyekuwa katikati hapo |
| FFU hapo wanaonekana wakiwa wamemaliza kazi yao |


No comments:
Post a Comment