Wachezaji wa SSC jana hiyo wakiwa na raha tele na huku wakimpongeza mchezaji mwenzao kwa kupachika goli. |
Uwanja wa Taifa nako jana Mnyama aka Simba Sports club waliwapa raha mashabiki wao baada y aKumfunga JKT Ruvu 2-0. Magoli hayo yalifungwa na Amiri Kiemba na Haruna Moshi 'Boban'. Kwa sasa SSC ndio wako juu kwenye ligi hiyo bada ya pia kushinda mechi yao ya kwanza dhidi ya African Lyon ambapo SSC walishinda 3-0.
Simba SC; iliwakilishwa na Juma Kaseja, Nassor Masoud
‘Chollo’, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Juma Nyosso, Mwinyi Kazimoto, Amri
Kiemba, Haruna Moshi ‘Boban’, Daniel Akuffo, Mrisho Ngassa na Emanuel Okwi.
Katika mechi nyingine za ligi hiyo, Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza
Azam imelazimishwa sare ya 2-2 na wenyeji Toto African, Uwanja wa
Kaitaba Bukoba, wenyeji Kagera Sugar wametoka sare ya bila kufunga na JKT
Oljoro ya Arusha, wakati Uwanja wa Sokoine Mbeya, wenyeji Prisons wametoka sare
ya 1-1 na Coastal Union ya Tanga na kwenye Uwanja wa Chamazi, African Lyon
imeifunga Polisi Morogoro 1-0, wakati Uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Ruvu
Shooting imeifunga 2-1 Mgambo
MSIMAMO
WA LIGI KUU BARA
P
W D L
GF GA
GD P
Simba
SC 2
2 - -
5
-
5 6
Mtibwa
Sugar 2 1
1 -
3
- 3
4
Azam
FC 2
1 1 -
2
1
1 4
Coastal
2
1 1 -
2
1
1 4
Ruvu
Shooting 2 1
- 1
3
3
- 3
JKT
Ruvu 2
1 - 1
2
3
-1 3
African
Lyon 2 1
- 1
1
3 -2
3
Toto
African 2
- 2 1
3
2 1
2
JKT
Oljoro
2 - 2
1 1
-
- 2
Prisons 2
- 2 -
1 1
- 2
Polisi
Moro 2
- 1 1
-
1
-1 1
Kagera
Sugar 2
- 1 1
-
1 -1
1
Yanga
SC 2
- 1 1
-
3
-3 1
JKT
Mgambo 2 -
- 2
1
3 -2
0
MATOKEO
MECHI ZOTE LEO:
JKT Ruvu
0-2 Simba SC
Mtibwa
Sugar 3-0 Yanga SC
African
Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu
Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons
1-1 Coastal Union
Kagera
Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto
Africans 2-2 Azam FC
No comments:
Post a Comment